SectionsExitEwe Mama Maria Umebarikiwa

Ewe Mama Maria Umebarikiwa

Ordinary Time,Marian,Easter,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

{Ewe Mama Maria umebarikiwa,

Mama mwenye huruma, utuombee} *2

Verse 2

Umebarikiwa Mama wa Mungu

Mama wa Mwokozi Mama wa Yesu

Utuombee Mama mwenye huruma

Verse 3

Uwinguni juu unapoketi

Na mwanao Yesu anatawala

Utuombee Mama utuongoze

Verse 4

Adui shetani ametubana

Utukinge na hila zake

Utuombee mama mwenye huruma

Verse 5

Na siku ya mwisho usiwe mbali

Kufa peke yetu sikubali

Mama mwenye huruma utuombee

Verse 6

Mama wetu bora tunakusifu

Na huko Mbinguni wakuheshimu

Utuunganishe ee Mama mwema