SectionsExitEwe Malkia Nyota Ya Bahari

Ewe Malkia Nyota Ya Bahari

Ordinary Time,Marian,Easter,Ordinary Time,Resurrection,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Verse 1

Ewe malkia, nyota ya bahari

U mama mpole mwenye huruma

Verse 2

Tuombee kwa mwanao, ewe Maria mama yetu mwema

Sisi wanao tunakulilia, tuombee kwa mwanao

Chorus

Mama mwema msafi kabisa, sikia maombi yetun{Wafahamu unyonge wetu, hakuna wakumlilia } *2n

Mama (wetu) mama wa Mungu msafi

Mama tuombee *2

Verse 4

Mwenyezi Mungu kamtuma Gabrieli

Mama Maria 'tapata mwana tapata

Verse 5

Mungu tuma Gabrieli

Maria tapata mwana tapata

Verse 6

Tamzaa mwana, mwana wa kiume

Naye atakuwa mfalme mkuu

Mwana mwana (wa) kiumen'takuwa mfalme mkuu

Verse 7

Simjui mume, Maria 'lisema

Ewe malaika niambie 'ambie

Mume, alisema, 'laika niambie

Verse 8

Roho mtakatifu atakujaza

Nawe utamwita Emmanueli

Chorus

Ulikubali chukua mimba, chukua mimba,

Na hivyo giza kaondolewa *3

Verse 10

Maria mama wa Mungu (aaa) Mama tuombee

Mbingu zote za kuheshimu . . .

Mam'etu mwenye usafi . . .

Mam'etu mwenye uzuri . . .

Mam'etu mwenye tukufu . .