Verse 1
Ewe Bwana utege sikio lako unisikili- Unisikilizen
Chorus
Ee eeh Ee Bwana wangu
Yesu Sikia sauti yangu
Sauti ya dua langu sauti ya dua langu
Unisikili unisikilize
Verse 3
Katikati ya miungu hakuna mwingine kama we-
Mungu kama wewe
Verse 4
Malaika wanaimba na kulisifu jina lako Ba-
Jina lako Baba