SectionsEntranceEnyi Watu Wote Pigeni Makofi

Enyi Watu Wote Pigeni Makofi

Ordinary Time,MarianEntrance
Chorus

{ Enyi watu wote pigeni makofi,

Enyi watu wote pigeni makofi,

Pigieni Bwana Mungu wetu,

Shangilieni kwa vigelegele } *2

Verse 2

[ s ] Enyi watu pigeni makofi, mpigieni Mungu,

Pigeni kelele kwa sauti ya shangwe

Verse 3

Kwa kuwa Bwana aliye juu, ni mwenye kuogofya,

Ndiye mfalme mkuu wa dunia yoten

Verse 4

Bwana atawatiisha watu, wote wa nchi yake

Na mataifa chini ya miguu yake

Verse 5

Bwana Mungu wetu amepaa, kwa sauti ya shangwe

Amepaa kwa sauti ya baragumu

Verse 6

Enyi watu wote mwimbieni, Bwana naam imbeni

Mwimbieni mfalme na mshangilieni