SectionsExitEnyi Watu Wa Galilaya

Enyi Watu Wa Galilaya

Ordinary Time,Marian,Easter,Ordinary Time,ResurrectionExit
Chorus

Enyi watu wa Galilaya mbona mmesimama *2nmkitazama Mbinguni

Atakuja vivyo hivyo mlivyomwonanakienda zake Mbinguni

Aleluya Aleluya

Imba imba imba *3

Mwimbieni Bwana mfalme wetu

Amepaa kwa kelele za shangwe *2

Verse 2

Watu wote mpige makofi mpigieni Mungunkelele ni mkuu wa dunia yote

Verse 3

Mungu amepaa kwa shangwe kwa sauti ya baragumu,nkwa kelele za shangwe kubwa

Verse 4

Mwimbieni mfalme wetu, mwimbieni nyimbo za shangwe,nmkipiga vigelegele