Enyi Mataifa
Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,Easter,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Lent,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianExit
Chorus
Enyi mataifa, Mshukuruni Mungu wa Miungu (Mungu),
Mshukuruni Mungu kwa kuwa yeye ni mwema kwetu
Kwa furaha kuu -
Pigeni ngoma kinanda na kinubi nalo zeze
Ni shangwe leo -
Watu wote waimbe kwa furaha na kucheza -
Mmh mmh mshukuruni Mungu wa miungu mshukuruni
Kaweza Bwana -
Sisi nasi twaimba aleluya aleluya
Verse 2
Fadhili za Bwana zinadumu kwao wamchao,
Fadhili za Bwana zinadumu kwao wamchao
Verse 3
Na rehema zake kwetu sisi kweli za milele,
Na uaminifu wake wadumu milele yote
Verse 4
Mwimbieni Bwana Mungu yeye astahili sifa,
Na fadhili zake Bwana Mungu yeye za milele.