Chorus
Ekaristia ni chakula, chakula cha uzimanwa milele, Ee mkate wa Mbinguni,nshibisha roho zetu *2
Verse 2
Yesu Mwokozi kashukanchini kwetu tukampokee
Verse 3
Maumbo haya ninmwili wake Yesu twakiri sote
Verse 4
Yesu mpenzi pokeanmoyo wangu na mimi wako n
Verse 5
Ninakupenda kulikonnafsi yangu Mwokozi wangu
Verse 6
Nakuabudu ee Mungunwangu mwenye heri ya Mbingu