Ee Yesu Wangu Nakupenda
Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Lent,Ordinary TimeEucharist
Chorus
Ee Yesu wangu nakupenda mimi
Chakula cha yangu rohonwewe ni chakula cha yangu roho
Kila siku nakuwaza wewe
Shinda nami ukae nami ndani yangu
Verse 2
Chakula hiki ni mwili wangu
Kinywaji hiki ni damu yangu
Tule tupate uzima wa milele
Verse 3
Nisipokula huu mwili wangu
Msipokunywa hii damu yangu
Kamwe hamtakuwa na uzima
Verse 4
Alaye mwili na damu yangu
Hukaa ndani nami ndani yake
Nitamfufua siku ya mwisho