Verse 1
Ee Viumbe karibuni, Mungu wenu kamsifuni
Chorus
Ndiyo sakramenti kuu, mwili damu ya Yesu *2
Verse 3
Ee Maria we utaanza, kumwimbia we wa kwanza
Verse 4
Nanyi wote malaika, wa Mbinguni mtaitika
Verse 5
Manabii na mababu, mwone jambo la ajabu
Verse 6
Nyie mitume na wenjili, tukuzeni fumbo hili
Verse 7
Mashahidi, waungana, jongeeni kutazama
Verse 8
Ninyi mabikira pia, sichokeni kumwimbia
Verse 9
Ee watakatifu wote, mwimbieni siku zote