SectionsExitEe Nafsi Yangu

Ee Nafsi Yangu

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

{ Ee nafsi yangu mhimidi Bwana, wewe Bwana Mungu wangu,numejifanya mkuu sana, umejivika heshima na adhama } * 2

Verse 2

Umejivika nuru kama vazi, umezitandaza mbingu kama pazia

Na kuziweka nguzo za horofa, nguzo za horofa zake majini

Verse 3

Huwafanya malaika zake, huwafanya kuwa pepo

Na watumishi watumishi wake, huwafanya kuwa moto wa miali

Verse 4

Ee Bwana jinsi yalivyo mengi, yalivyo mengi matendo yako

Kwa heshima umefanya vyote, dunia imejaa mali yako