Verse 1
Ee Mwana kondoo wa Mungu
Uondoaye dhambi za dunia
Ee mwana ee ee mwana ee wa Mungu
Uondoaye dhambi za dunia utuhurumie
Ee mwana kondoo wa Mungu }*2
Verse 2
Utujalie amani utujalie amaninutujalie amani utujalie ee Mwana
Ee Mwana utujalie amani
Utujalie amani