SectionsExitEe Mungu Wangu Umenichunguza

Ee Mungu Wangu Umenichunguza

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary TimeExit
Chorus

{ Ee Mungu wangu umenichunguza,

Ukanifahamu nilivyo mimi } *2n{ Wayafahamu matendo yangu

Nikiketi au kusimama, wewe unanijua mimi } *2

Verse 2

Nikiwa kazini waniona - wewe unanijua mimi

Wewe wajua mawazo yangu -

Ningali bado nafikiria -

Nikifanya mabaya gizani -

Verse 3

Wanizunguka kila upande -

Waniwekea mkono wako -

Maarifa hayo ni ya ajabu -

Siwezi kuyaelewa mimi -

Verse 4

Nikimbie wapi mbali na wewe -

Niende wapi nikajifiche -

Nikipanda juu wewe uko -

Nikiwa safarini waniona -

Verse 5

Umeniumba mwili na roho -

Ulinitengeneza tumboni -n` Hata kabla sijazaliwa -

Uwezo wako ni wa ajabu -