SectionsEntranceEe Mungu Wangu Nifundishe

Ee Mungu Wangu Nifundishe

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,MarianEntrance
Chorus

Ee Mungu wangu unifundishe

Unifundishe kuwa mkarimu

Unifundishe kukutumikia kama unavyostahili

Kama unavyostahili,

Kutoa wala nisihesabu gharama

Kukubali mateso bila kunung'unika

Nitumike pasipo kutafuta pumziko

Verse 2

Nifanye kazi kwa moyo bila kutafuta ujira

Ee Mungu nisaidie nijitoe kwa kazi yako

Verse 3

Nisaidie kujua nafanya mapenzi yako

Nisije nikajikwa kwa kukosa uaminifu

Verse 4

Mimi askari wa Yesu ee Bwana uniimarishe

Nipigane hata kufa nikitetea jina lako