Chorus
[b] Ee Mungu uniokoen[w] Maana maji yamepita mpaka nafsini mwangun[b] Ee Mungu uniokoen[w] Ninazama katika matope mengin{[a] Pasipowezekana (Bass) Kusimaman[w] Nimefika penye maji ya vilindi
Mtondo wa maji unanigharikisha *2}
Verse 2
Nimechoka kwa kulia kwangu koo yangu imekauka
Macho yangu yamedhoofunkwa kumngoja Mungu wangu
Verse 3
Wanaoonichukia bure ni wengin`Kuliko nywele za kichwa changu
Verse 4
Ee Mungu waujua upumbafu wangu
Wala hukufichwa dhambi yangu