Chorus
Ee Mungu Mungu wangu nitakutafuta mapema
Nafsi yangu nafsi yangu *2
Nafsi yangu yakuonea kiu ee Mungu wangu
Verse 2
Mwili wangu wakuonea shauku
Katika nchi kame isiyo na maji
Verse 3
Ndivyo nilivyokutazama katika patakatifu
Nizione na nguvu zako na utukufu
Verse 4
Kwa maana fadhili zako, Fadhili zako ni njema
Midomo yangu itakusifu Mungu wangu