SectionsExitEe Mungu Nitakutafuta Mapema

Ee Mungu Nitakutafuta Mapema

Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Marian,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

[ t ] Ee Mungu, mungu wangu ee Bwanan[ w ] Nitakutafuta mapema, nafsi yakuonea kiu x2n[ t ] Maanan[ w ] Maneno yako ni Roho na uzima

Wewe unayo maneno ya uzima wa milee x2

Verse 2

[ s ] Ee Mungu, Mungu wangu, nitakutafuta mapema,

Nafsi yakuonea kiu, mwili wakuonea shauku,

Kwenye nchi kavu yenye uchovu,

Nchi kavu isiyo na maji.

Verse 3

[ t ] Ndipo nilikutazama, katika patakatifu,

Nizione nguvu zako, na utukufu wako,

Maana fadhili zako, ni njema kuliko uhai,

Nafsi yangu itakusifu.

Verse 4

[ a ] Ndipo nitakubariki, wakati mimi naishi,

Nikiinua mikono yangu, nitaliomba jina lako,

Kwa utajiri wa karamu, nafsi yangu imeridhika,

Kwa midomo ya kinywa changu, nitakusifu wewe.

Verse 5

[ b ] Wewe ni msaada wangu,

Katika uvuli wa mbawa zako, hupiga kelele kwa furaha.

Nafsi yangu hushikamana, haraka kwako Bwana,

Kwa midomo ya kinywa cha-a-ngu, nitaku-usifu wewe.