Chorus
Ee Mungu ee Mungu nchi yote itakusujudia na kukuimbia Bwana
Italiimbia Jina Lako, Jina Lako wewe Mtukufu
Italiimbia Jina Lako, Jina Lako wewe Mtukufun
Verse 2
Mpigieni Mungu kelele za shangwe
Imbeni utukufu wa jina jina lake
Verse 3
Tukuzeni sifa zake mwambieni Mungu
Matendo yake yanatisha yatisha kama nini