SectionsExitEe Mungu Mwenye Rehema

Ee Mungu Mwenye Rehema

Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

Ee Mungu Mungu mwenye rehema utuinuliye nurunya uso wako Mungu mwenye rehema, ee Bwana

Bwana Mungu, Sisi utuinuliye nuru ya uso wako

Verse 2

Ee Mungu wa haki uitike yangu nikuitapo

Umenifanyizia nafasi wakati wa shida

Verse 3

Jueni ya kuwa Bwana ameteua mtauwa

Bwana atasikia nimwitapo mimi

Verse 4

Wengi husema nani atakayetuonyesha mema

Bwana utuinulie nuru ya uso wako

Verse 5

Katika amani najilaza na kupata usingizi

Ndiwe unijaliaye kukaa salama