Ee Mungu Mungu Wangu
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
Ee Mungu Mungu wangu,nmoyo wangu uthabiti,nnitaimba nitaimba zaburi x2
Amka ewe kinanda, amka ewe kinubi,nnitaamka alfajiri nitamuimbia Bwana x2
Verse 2
Ee Mungu nitakushukuru kati ya watu,nnitakuimbia zaburi kati ya mataifa.
Verse 3
Kwa maana fadhili zako ni za milele, nanuaminifu wako hata juu mawinguni.
Verse 4
Ee Mungu utukuzwe juu ya mbingu yote,nna juu ya nchi yote uwe utukufu wako.