SectionsExitEe Mungu Mfalme

Ee Mungu Mfalme

Ordinary TimeExit
Chorus

[s] Ee Mungu mfalme Bwana mimi nitakutukuzan[w] Nitalihimidi jina lako Bwana *2n{ Kila siku nitakuhimidi ewe Mungu wangunnitalitukuza jina lako milel } *2

Verse 2

Bwana ana fadhili, ni mwingi wa rehema,

Si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema

Na rehema zake ni kwa viumbe vyote

Verse 3

Viumbe vyote vyako Mungu vitakusujudu

Na wacha Mungu wako watakuhidi

Wataunena utukufu wako na kuhadithia uweza wako.