SectionsOffertoryEe Mungu Baba Upokee Sadaka

Ee Mungu Baba Upokee Sadaka

Ordinary TimeOffertory
Chorus

{Ee Mungu Baba upokee sadaka

Sadaka safi isiyo na doa

Ni sadaka yake Mwanao mpenzi

Uliyependezwa naye } *2

Verse 2

Ni ajabu ya sadaka hii

Mkate kugeuka mwili wake Yesu

Na divai kugeuka damu yake

Verse 3

Ni sadaka ya agano jipya

Sadaka ya Bwana wetu Yesu Kristu

Iliyotolewa ili tuokoke

Verse 4

Mungu Baba tunakutolea

Sadaka yetu hii kama ukumbusho

Wa sadaka aliyoitoa Yesu