Chorus
Ee Mama yetu Maria twaomba sana ee mamanusituache gizani kwa mwanao utuombee *2
Verse 2
Mama yetu Maria utusikilize,nsisi wana wako tunaosumbuka,nmaisha yetu Mama hayana furahantujaze neema tupate baraka.
Verse 3
Utuombee kwake mwanao mpendwa,natutie nguvu tushinde maovu.
Dunia ina giza dunia ni ngumu,nbila nguvu yake hatuwezi kitu.
Verse 4
Tuombee Maria, tuombee Mama,nili wana wako wafke mbinguni,nmaisha yetu Mama hayana furahantujaze neema tupate baraka.