Ee Bwana
Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus
Ee Bwanantwakuomba upokee vipaji vyetu x2,nhivyo vyote ni mali yakontumepata kwa wema wako pokea x2
Verse 2
Mkate divai twakutolea
Twakuomba Baba upokee
Verse 3
Mazao ya mashamba twakutolea
Twakuomba Baba uyabariki
Verse 4
Pokea nazo nyoyo zetu
Pokea Baba twakuomba
Verse 5
Na fedha za mifuko twakutolea
Twakuomba Baba tubariki
Na kazi za mikono twakutolea
Twakuomba Baba zikupendeze
Verse 6
Furaha na uchungu twakutolea
Twakuomba Baba upokee.