SectionsThanksgivingEe Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki

Ee Bwana Wewe Ndiwe Mwenye Haki

Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

{Ee Bwana Bwana, Ee Bwana Bwana

Wewe ndiwe mwenye haki } *2n{ Na hukumu zako (na hukumu zako )

Na hukumu zako hukumu zako ni za adili } *2

Verse 2

Kama zilivyo rehema zako, unitendee mtumishi wako

Na amri amri zako, unifundishe unifundishe

Verse 3

Mimi ni mtumishi wako, unifahamishe unifahamishe

Nipate kuzitoa, shuhuda zako shuhuda zako

Verse 4

Bwana uwape amani wakungojao,

Ili watu wawasadiki manabii wako

Usikilize sala ya mtumwa wako, na ya taifa lako Israeli