Verse 1
Ee Bwana vyote mali yako (Bwana)
Twakupa vyote mali yako
Chorus
Ee Bwana vyote mali yako (Bwana)
Twakupa vyote mali yako
Verse 3
Pokea mkate na divai . . .
Verse 4
Mazao ya mashamba yetu . . .
Verse 5
Pokea nazo nia zetu . . .
Verse 6
Pokea nazo nyoyo zetu . . .
Verse 7
Na fedha za mifuko yetu . . .
Verse 8
Na kazi ya mikono yetu . . .
Verse 9
Furaha na uchungu wetu . . .