Chorus
Ee Bwana, ee Bwana utege sikio lako unijibu *2n{Wewe uliye Mungu wangu umwokoe mtumishi wako
Mtumishi wako anayekutumaini } *2
Verse 2
Ee Bwana unifadhili, wewe Bwana unifadhili
Maana nakulilia wewe mchana kutwa
Verse 3
Kwa maana wewe Bwana wewe Bwana u mwema
Umekuwa tayari kusamehe watu waote wakuitao
Verse 4
Ee Bwana unifadhili, wewe Bwana unifadhili
Maana nakulilia wewe mchana kutwa