SectionsExitEe Bwana Usikie

Ee Bwana Usikie

Ordinary TimeExit
Chorus

Ee Bwana usikie, kwa sauti yangu ninalia

Umekuwa msaada wangu usinitupe

Wala usiniache ee Mungu Mungu wa wokovu wangu

Verse 2

Nami nitatoa dhabihu za shangwe hemani mwake

Nitaimba nitaimba naam nitamhimidi ee Bwana

Verse 3

Uliposema nitafuteniu nitafuteni uso wangi

Moyo wangu umekuambia Bwana Bwana uso wako nitautafuta