Chorus
Ee Bwana, unihurumie,nunitakase dhambi zangu.
Verse 2
Rudini mkatubu,nna kuacha makosa yenu yote.
Verse 3
Hivyo uovu wenu,nhautakuwa uharibifu wenu.
Verse 4
Tupilieni mbali nanyi, makosa yotenmliyoyatenda.
Verse 5
Jifanyieni moyo mpya, na roho mpya.
Verse 6
Sifurahii, kifo cha mtu mwovu.
Verse 7
Bali auache mwenendo wake mbaya,napate kuishi.
Verse 8
Uniumbie moyo saf, ewe Mungu wangu.
Verse 9
Unitie roho imara, ndani yangu.