SectionsExitEe Bwana Unihukumu

Ee Bwana Unihukumu

Ordinary TimeExit
Chorus

{Ee Bwana unihukumu unitetee kwa taifa lisilo haki

Uniokoe na mtu wa hila asiye haki

Kwa kuwa wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu } * 2

Verse 2

Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze

Zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu, na hata maskani zako

Verse 3

Hivyo nitakwenda madhabahuni kwa Mungu

Kwa Mungu aliye furaha yangu na shangwe yangu

Verse 4

Nitakusifu kwa kinubi, ee Mungu, Mungu wangu