Chorus
{Ee Bwana unifadhili, maana nakulilia wewe mchana kutwa
Kwa maana wewe Bwana u mwema, umekuwa tayari kusamehe
Na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitaao } * 2
Verse 2
Siku ya mateso yangu nitakuita
Kwa maana utaniitikia
Verse 3
Ee Bwana unifundishe njia zako
Nitakwenda katika kweli yako