SectionsExitEe Bwana Ulimwengu Wote

Ee Bwana Ulimwengu Wote

Ordinary TimeExit
Chorus

{Ee Bwana ulimwengu wote uko katika uweza wako}n|s| Wala hakuna awezaye kukupinga,nwala hakuna awezaye kukupinga (ukitaka*2)n|a| Wala hakuna, awezaaaye awezayenkuukupinga ukita-ka ukitakan|t| Wala hakuna awezaye kukupinganawezaye kukupinga ukitaka ukitakan|b| Wala Hakuna kukupinga awezayenkukupinga ukitaka

Verse 2

Ulitukuze jina lako na kututendea,

Sawasawa na wingi wa fadhili zako

Verse 3

Ee Bwana fadhili zako ni za milele Bwana

Usisahau kazi ya mikono yako

Verse 4

Ndiwe stara yangu Bwana utanihifadhi na mateso,nutanizungushia nyimbo za wokovu