Chorus
Ee Bwana ulimwengu wote u katika uweza wakon{Wala hakuna awezaye kukupinga
Wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda }*2
Verse 2
Wewe umeumba vyote Mbingu na nchi
Na vitu vyote vya ajabu vilivyomo chini ya Mbingun
Ndiwe Bwana Bwana wa vyote
Verse 3
Kwa kuwa Bwana ni mkuu
Mwenye kusifiwa sana na wa kuhofiwa kuliko miungu
Maana miungu ya watu si kitu
Lakini Bwana ndiye aliyezifanya Mbingu