SectionsOffertoryEe Bwana Twaomba Upokee

Ee Bwana Twaomba Upokee

Ordinary TimeOffertory
Chorus

Ee Bwana twaomba upokee sadaka yetu hii tunayokutolean{ Twakusihi sana ibariki Babaniwe safi sana iwe kama ile ya Abeli } *2

Verse 2

Baba twaleta mkate na divai, kazi ya mikono yetu Baba

Ibariki Baba, iwe safi sana iwe kama ile ya Abeli

Verse 3

Baba twaleta na fedha zetu, japo ni kidogo sana Baba

Zipokee Baba, zikupendeze ziwe kama zile za Abeli

Verse 4

Baba twaleta na sala zetu, Baba twakuomba zisikilize

Twakusihi sana, zisikilize kama sala zile za Abeli