SectionsOffertoryEe Bwana Twakuomba

Ee Bwana Twakuomba

Ordinary Time,MarianOffertory
Chorus

Ee Bwana twakuomba, pokea sadaka

Verse 2

Ya divai na ya mkate, nyoyo zetu upokee

Verse 3

Ya matendo na mawazo, nia zetu upokee

Verse 4

Ya Abeli iwe mfano, sadaka hii ipendeze

Verse 5

Mikononi mwake padre, ni sadaka yetu sote

Verse 6

Zigeuze mwili na damu, ya mwanao altareni