Chorus
Ee Bwana, twakuomba upokee vipaji vyetu *2n{ Hivyo vyote ni mali yako
Tumepata kwa wema wako pokea } *2
Verse 2
Mkate na divai twakutolea, twakuomba Baba upokee
Verse 3
Mawazo pia matendo yetu . . .
Verse 4
Twakutolea nan yoyo zetu . . .
Verse 5
Mazao ya mashamba twakutolea . . .
Verse 6
Na fedha za mifuko twakutolea . . .