Chorus
{ Ee Bwana pokea vipaji vyetu -
Ee Bwana pokea vipaji vyetuntunavileta mbele ya mezayo takatifu } 2n(ee Baba) uvibariki (na pia) uvitakase
Tunakuomba Bwana Mungu upokee
Verse 2
Ni mazao ya mashamba - Bwana Mungu upokee
Kazi ya mikono yetu -
Twakuomba upokee -
Verse 3
Tunaleta nyoyo zetu -
Nazo ugeuze Baba -
Tuwe wako maishani -
Verse 4
Tubariki wana wako -
Tufanikiwe daim -
Katika shughuli zetu -