Chorus
Ee Bwana nitakutukuza miminnitakutukuza Bwana wangun{Nitakutukuza Bwana } *2 kwa maana,nkwa maana umeniinua wala hukuwafurahishanadui adui zangu {Juu yangu} * 5
Verse 2
Umeniinua nafsi yangu kutoka kuzimu
Umeniuhuisha na kunitoa mwao washukao shimoni
Verse 3
Mwimbieni Bwana zaburi enyi watauwa
Na kufanya shukurani kwake kumbukumbu la utakatifu
Verse 4
Usikie Bwana Bwana wangu na kunirehemu
Pia uwe msaidizi wangu nitakushukuru Bwana