Chorus
Ee Bwana nitakutukuza, ee Bwana nitakutukuza
Kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu
Kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu
Verse 2
Ee Bwana Mungu wangu, nilikulilia ukaniponya
Verse 3
Ee Bwana Mungu wangu, umeniinua kutoka kuzimu
Verse 4
Ee Bwana umeniuhuisha na kunitoa kati yao watokao shimoni
Verse 5
Mwimbieni Bwana zaburi enyi watauwa wake na kufanya shukurani