SectionsThanksgivingEe Bwana Nitakushukuru

Ee Bwana Nitakushukuru

Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Ee Bwana nitakushukurunkwa moyo wangu wote

Ee Bwana nitakushukurunkwa moyo wangu wote

Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi,

Nitashukuru nikilikabili hekalu lako takatifu*2

Verse 2

Kwa maana umeikuza ahadi yangu

Kuliko jina lako lote

Verse 3

Ingawa Bwana yuko juu naye amuona

Amwona mtu Yule mnyenyekevu

Verse 4

Ee Bwana fadhili zako ni za milele

Usiziache kazi za mikono yako