SectionsEntranceEe Bwana Nimekuita

Ee Bwana Nimekuita

Ordinary TimeEntrance
Chorus

Ee Bwana ee Bwana, nimekuita kwa maana utaitikan{Utege sikio lako utege sikio lako usikie neno neno langu } * 2

Verse 2

Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho

Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako

Verse 3

Ee Bwana kwa mkono wako wa kuume

Uniokoe nao wanaoondokea