SectionsExitEe Bwana Nifundishe Kupenda

Ee Bwana Nifundishe Kupenda

Ordinary TimeExit
Chorus

Ee Bwana nifundishe kupenda, ee Bwana nifundishe kutumikia

Ee Bwana nifundishe (kuwajua wenzangu ee) Ee Bwana nifundishe kutumikia

Verse 2

Nifanye juhudi kuwajua watu, kusudi nizifahamu shida zao

Nisiwape kazi kubwa kutafuta njia ya kunieleza shida zao

Nisiwe mwenye haraka kuwachoka, niliowasaidia mara nyingi

Nijue kusaidia ni safari, iliyo na milima mingi na miiba

Verse 3

Nijue kuwatetea wadhaifu, wasipoteze thamani nikiona

Maana hawakuchagua hali yao. Wamekuwa hivyo kusudi utukuzwe

Nijibidiishe daima kutafuta, kuwasiliana na jamaa zetu

Kwa kuwa mahusiano ni gharama, hayawezi kuwepo bila jitihada

Verse 4

Maana nikishajua kupenda, na nikazingatia kutumikia

Kilicho nileta hapa duniani, kitakuwa kimetia niondoke