Chorus
{Ee Bwana * 3 nakuinulia nafsi yangu }*2n{Ee Mungu nimekutumaini }*3nwewe nisiaibike milele *2
Verse 2
Ee Bwana unijulishe nijulishe njia
Unifundishe mapito yako
Verse 3
Niongoze katika kweli katika kweli yako
Uniongoze na kunifundisha
Verse 4
Bwana Mungu ni mwema sana pia
Ni mwenye adili atawafundisha wenye dhambi