SectionsExitEe Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu

Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu

Marian,Ordinary TimeExit
Chorus

Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu

Ee Mungu wangu, ee Mungu wangu

Nimekutumaini wewe nisiaibike

Ee Mungu wangu, ee Mungu wangu

Nimekutumaini wewe nisiaibike

Verse 2

Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda

Nao wakungojeao hawataaibika

Verse 3

Bwana unijulishe njia zako zote Bwana

Bwana unifundishe mapito yako yote