SectionsExitEe Bwana Mwumba Wa Vitu

Ee Bwana Mwumba Wa Vitu

Ordinary TimeExit
Chorus

{Wewe Bwana Muumba wa vitu vyote wewe ni wa kutisha

Na mwenye nguvu papo hapo mwingi wa huruma na haki } * 2n{Wewe peke yako ni mfalme, na wewe peke yako ni mfalme

Hapana aliye mwema ila wewe Bwana } * 2

Verse 2

Hapana aliye na fadhili na atendaye sawa ila wewe

Wewe ndiwe mwenye nguvu tena na mwenye nguvu na wa siku zote

Wewe wawaokoa waisraeli katika uovu wote

Ulichagua watu wazee na kuwaweka wakikuu

Ipokee dhabihu tunayokutolea kwa niaba ya watu

Verse 3

Na uwakusanye watu wetu waliotawanyika duniani

Uwaachilie wale walio utumwani nchi za kigeni

Na uwaangilie kwa huruma watu wanyanyasikao

Pia waangalie kwa huruma watu wadharauliwao

Uwafanye mataifa watambue wewe Mungu wetu