SectionsExitEe Bwana Mungu Wetu Utuokoe

Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe

Ordinary TimeExit
Chorus

{Ee Bwana Mungu wetu utuokoe

Utukusanye kwa kututoa katika mataifa } * 2

Tulishukuru jina la Bwana takatifu

Tuzifanyie shangwe (sifa zako) Sifa zako Bwana

Verse 2

Ahimidiwe Bwana Mungu wa Israeli

Tangu milele hata milele, watu wako waseme sifa kwa Mungu

Verse 3

Mshukuruni Bwana Mungu kwani ni mwema

Mshukuruni kwa maana fadhili zake ni za milele na milele

Verse 4

Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote

Mtumikieni kwa furaha njooni mbele zake kwa kuimba zaburi