Chorus
{Ee Bwana, ee Bwana ee Bwana kumbuka rehema zakonna fadhili zako ee Bwana }* 2n{Kwa maana zimekuwapo
Kwa maana zimekuwapo tokea zamani
Kwa maana zimekuwapo tokea zamani } * 2
Verse 2
Ee Bwana ee Bwana unijulishe njia zako
Unifundishe mapito yako
Uniongoze katika kweli yako na kunifundisha
Maana wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu
Verse 3
Usiyakumbuke makosa makosa ya ujana wangu
Wala maasi yangu
Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako ee Bwana
Kwa ajili ya wema wako, kwa ajili ya wema wako