Chorus
Ee Bwana, ee Bwana, fadhili zako zikae nasi *2n{ Kama vile tulivyokungoja wewe (Bwana)
Kama vile tulivyokungoja wewe Bwana wewe Bwana } *2
Verse 2
Kwa kuwa neno la Bwana, neno la Bwana lina adili
Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu
Verse 3
Hupenda haki na hukumu, hupenda haki na hukumu
Nchi imejaa fadhili za Bwana
Verse 4
Tazama jicho la Bwana, li kwao wamchao
Wazingojeeao fadhili fadhili za Bwana