Chorus
Ee BabaBaba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe
Ufalmeufalme wako na utufikie
Utakalo lifanyiken
Verse 2
Utupe leo mkate wetu Ee Baba -nutakalo lifanyike
Mkate wetu wa kila siku ee Baba -
Verse 3
Tusamehe makosa yetu ee Baba -
Kama vile twawasamehe ee baba -
Verse 4
Na usitutie kishawishini ee baba -
Maovuni utuopoe ee baba -n
Verse 5
Kwa kuwa nguvu na utukufu ee Baba -
Ni zako hata milele ee Baba -