SectionsOffertoryEe Baba Twaleta Zawadi

Ee Baba Twaleta Zawadi

Ordinary Time,MarianOffertory
Chorus

{ Ee Baba, twaleta zawadi zetu

Ee Baba, twaomba uzipokee } *2n{ Japo ni kidogo sana ewe Baba

Twakusihi sana Baba uzipokee } *2

Verse 2

Mkate na divai, ewe Baba, twaomba uzipokee

Verse 3

Na mazao ya mashamba ewe Baba, twaomba uyapokee

Verse 4

Tunaleta fedha zetu ewe Baba, twaomba uzipokee