SectionsPresentation of GiftsEe Baba Twaleta Zawadi Zetu

Ee Baba Twaleta Zawadi Zetu

Presentation of Gifts
Chorus

Ee baba twaleta zawadi zetu,

Ee baba twaomba uzipokee x2,

Japo ni kidogo sana ewe Babantwakusihi sana Baba uzipokee!

Verse 2

Mkate na divai ewe Baba -ntwaomba uzipokee

Mazao ya mashamba ewe Baba

Verse 3

Twaleta na sadaka ewe baba -

Hata na fedha zetu ewe Baba -n

Verse 4

Twaleta nafsi zetu ewe Baba -

Nazo nyoyo zetu ewe Baba -

Verse 5

Twaleta na wazazi ewe Baba -

Na pia kazi zetu ewe Baba -